TERMS & REFERENCE

Dodoma Store haipokei fedha kabla ya kumkabidhi mteja bidhaa aliyoipenda na kukusudia kununua.

Mteja atalipa fedha baada ya kupokea bidhaa aliyoipenda.

Mteja ataangalia bidhaa katika tovuti ya Dodoma Store, bidhaa atakayoipenda na kuamua kununua, atapiga simu au kutuma sms ya kutujulisha alipo,atapelekewa bidhaa hiyo ndipo atakapolipa fedha.Namba ya simu iko katika kila bidhaa.

Epuka mtu atakayekwambia lipia kwanza.Hakikisha unaiona bidhaa kwanza na kuikagua ndipo uilipie.

Mawasiliano: Dodoma Store S.L.P 208 Dodoma. Tanzania. (+225) 717-163462 , (+225) 754-236418

You've just added this product to the cart:
Go to cart page