Sort by:
  • Mini Car track

    Mini Tracker Kifaa kidogo ambacho kinasumaku,unaweza weka sehemu yoyote ndani ya gari na ukaifatilia gari yako kwa simu kupitia Google map. Pia unaweza piga simu na kusikia chochote kinachoendele ndani ya gari bila ya walio ndani ya gari kujua kinacho endelea. Kinachotakiwa tu, ni wewe kuwa na laini nyingine ya simu utakayoiweka ndani ya kifaa hiki. Kifaa hiki unaweza tumia hata kwa mtoto,au mzee kwa kuweka ndani ya mkoba wake na kumfatilia asipotee.
    TSh45,000
Just added to your wishlist:
My Wishlist
You've just added this product to the cart:
Go to cart page