Sort by:
 • Kiwanja Kisasa

  Kiwanja for sale (Kina hati) -Kiko Dodoma eneo la Kisasa, ukubwa wake ni 840 sqm. Kisasa ni eneo ambalo limejengeka sana na lipo karibu sana na mji.
  TSh15,000,000
 • Kiwanja Mtumba

  Kiwanja for sale (Kina hati) -Kiko Dodoma eneo la Mtumba, ukubwa wake ni 1000 sqm. Mtumba ni eneo ambalo linajengenga sana kwa sasa na ofisi za serikali zimejengwa huko. Hivyo ukijenga eneo hili utakuwa karibu na huduma za kiserikali, pia kwa mfanyakazi wa serikali utakua karibu na eneo lako la kazi.
  TSh10,000,000
 • Kiwanja Kikombo

  Kiwanja for sale (Kina ofa) -Kiko Dodoma eneo la Kikombo, ukubwa wake ni 452 sqm. Kikombo ni eneo ambalo limepimwa na Halmashauri ya jiji la Dodoma. Inasemekana katika eneo hilo ndiko ofisi za mabalozi/embassy mbalimbali zitakua huko.
  TSh1,300,000
 • Kiwanja Iyumbu

  Kiwanja for sale (Kina hati) -Kiko Dodoma eneo la Iyumbu, ukubwa wake ni 660 sqm. Iyumbu ni eneo ambalo linajengenga sana kwa sasa, eneo liko katikati ya chuo cha Dodoma na Mtumba ambako zimejengwa ofisi za Serikali.
  TSh5,000,000
 • Kiwanja-Mlimwa Hill Dodoma

  Kiwanja-Mlimwa Hill Kiko Dodoma mjini, kina squre mita 767. Kina Hati.Kiwanja kinatazama geti njia ya kuingia Nyumba ya waziri mkuu.
  TSh60,000,000
Just added to your wishlist:
My Wishlist
You've just added this product to the cart:
Go to cart page