Sort by:
 • NYUMBA INAPANGISHWA-ILAZO EXTENSION, DODOMA.

  Nyumba ni mpya kodi 350,000 unalipa kwa miezi sita.Nyumba zipo kwenye lami, hakuna dimbwi lolote.Vyumba viwili vyote master maji ya moto, public toilet, sebule na jiko. Ziko ndani ya uzio.
  TSh350,000
 • NYUMBA INAPANGISHWA-ILAZO, DODOMA.

  Hii IPO ilazo mitaa ya winers inataka laki 5 vyumba vitatu vyote master sebule full eisi miezi 6 anachukua Kodi.
  TSh500,000
 • Kiwanja Kisasa

  Kiwanja for sale (Kina hati) -Kiko Dodoma eneo la Kisasa, ukubwa wake ni 840 sqm. Kisasa ni eneo ambalo limejengeka sana na lipo karibu sana na mji.
  TSh15,000,000
 • Kiwanja-Mlimwa Hill Dodoma

  Kiwanja-Mlimwa Hill Kiko Dodoma mjini, kina squre mita 767. Kina Hati.Kiwanja kinatazama geti njia ya kuingia Nyumba ya waziri mkuu.
  TSh60,000,000
 • Kiwanja Mtumba

  Kiwanja for sale (Kina hati) -Kiko Dodoma eneo la Mtumba, ukubwa wake ni 1000 sqm. Mtumba ni eneo ambalo linajengenga sana kwa sasa na ofisi za serikali zimejengwa huko. Hivyo ukijenga eneo hili utakuwa karibu na huduma za kiserikali, pia kwa mfanyakazi wa serikali utakua karibu na eneo lako la kazi.
  TSh10,000,000
 • Kiwanja Iyumbu

  Kiwanja for sale (Kina hati) -Kiko Dodoma eneo la Iyumbu, ukubwa wake ni 660 sqm. Iyumbu ni eneo ambalo linajengenga sana kwa sasa, eneo liko katikati ya chuo cha Dodoma na Mtumba ambako zimejengwa ofisi za Serikali.
  TSh5,000,000
 • Kiwanja Kikombo

  Kiwanja for sale (Kina ofa) -Kiko Dodoma eneo la Kikombo, ukubwa wake ni 452 sqm. Kikombo ni eneo ambalo limepimwa na Halmashauri ya jiji la Dodoma. Inasemekana katika eneo hilo ndiko ofisi za mabalozi/embassy mbalimbali zitakua huko.
  TSh1,300,000
 • NYUMBA INAUZWA MLIMWA - DODOMA

  Nyumba inauzwa eneo la mlimwa Dodoma karibu na kwa Waziri Mkuu.
  TSh84,000,000
 • House for sale Chidachi Dodoma

  Nyumba inauzwa iko eneo la Chidachi Dodoma.Nyumba ina vyumba vinne,sebule,dining,jiko,store,na ina umeme tayari.Ukubwa wa eneo ni squre mita 520.
  TSh45,000,000
 • NYUMBA INAUZWA CHANGOMBE EXTENSION

  Nyumba inauzwa iko eneo la Chang'ombe Extension Dodoma.Nyumba ina vyumba vinne (viwili Master), sebule, dining, jiko na store.Chang'ombe Extension ni mji uliopangika na sio mbali na mjini.
  TSh44,000,000
 • NYUMBA INAUZWA IPAGALA

  Nyumba inauzwa iko Ipagala-VYUMBA vinne,kiwanja chake ni kikibwa sana two by one.
  TSh50,000,000
Just added to your wishlist:
My Wishlist
You've just added this product to the cart:
Go to cart page