Sort by:
 • Sports Jacket
  -10

  Canon 5D Mark III

  CANON 5D MARK III 22 Megapixel Pamoja na lens yake (Cinematic lens). Imetumika ila inafanya kazi vizuri.Unaweza ukaitumia kwa kufanya short film,au documentary film kwa sababu ina port ya kutumia external mic/boom.Ina shoot Full HD 1080 pia haizimiki yenyewe inapopata joto kama Canon 7D.
  TSh5,000,000
  TSh4,500,000
 • Sports Jacket
  -7.0588235294118

  Canon 600D

  CANON 600D imetumika ila inafanya kazi vizuri sana.
  TSh850,000
  TSh790,000
 • Sports Jacket
  -10

  Canon D100/SL1

  Canon D100 au SL1 - Body (18 Megapixel) Imetumika kidogo sana, sawa na mpya. Imejaribiwa inafanya kazi vizuri.Unaweza ukaitumia kwa kufanya short film,au documentary film kwa sababu ina port ya kutumia external mic/boom.Ina shoot Full HD 1080 pia haizimiki yenyewe inapopata joto kama Canon 7D.
  TSh500,000
  TSh450,000
 • Mini Car track

  Mini Tracker Kifaa kidogo ambacho kinasumaku,unaweza weka sehemu yoyote ndani ya gari na ukaifatilia gari yako kwa simu kupitia Google map. Pia unaweza piga simu na kusikia chochote kinachoendele ndani ya gari bila ya walio ndani ya gari kujua kinacho endelea. Kinachotakiwa tu, ni wewe kuwa na laini nyingine ya simu utakayoiweka ndani ya kifaa hiki. Kifaa hiki unaweza tumia hata kwa mtoto,au mzee kwa kuweka ndani ya mkoba wake na kumfatilia asipotee.
  TSh45,000
 • Accer

  Acer es 15, Dual core, Ram 4gb, HDD 500gb, Screen size 15.6, Ultra sleem
  TSh480,000
 • Sports Jacket
  -3.2258064516129

  Hp

  Hp 250 G6, Core i3 7generation, Ram 8gb, HDD 500gb, Screen size 15.6, Ultra sleem
  TSh620,000
  TSh600,000
 • Macbook Pro Co 2 dual

  Macbook Pro Co 2 dual, 13 inches (White) Processor: 2Ghz Core 2 dual, Ram:4GB, Hard Disk: 160. Betri Mpya kabisa. Imetumika lakini inafanya kazi vizuri. Nzuri kwa wanafunzi wa vyuo na wafanyakazi wa ofisini.
  TSh550,000
 • Sports Jacket
  -2

  Macbook Pro Co i 5

  MacBook Pro 13 inches, Processor: 2.5 GHz Intel Core i5, Memory: 8GB 1333 MHz DDR3, Hard disk: 500, Graphics: Intel HD Graphics 4000 1536 Imetumika kidogo, inafanya kazi vizuri.
  TSh1,000,000
  TSh980,000
Just added to your wishlist:
My Wishlist
You've just added this product to the cart:
Go to cart page